Haya hapa majina ya walioitwa kwenye semina Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Moshi Vijijini na Jimbo la Vunjo anawatangazia wafuatao kwenye orodha hapa chini kuwa wameteuliwa kufanya kazi ya muda kwa nafasi ya waandikishaji wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki (BVR).Wote walioteuliwa wanatakiwa kuhudhuria semina ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa awamu ya pili ngazi ya Kata itakayofanyika tarehe 14/05/2025 katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Weruweru kuanzia saa 01:30 asubuhi ukiwa na kitambulisho kinachokutambulisha.
Nafasi za Kazi
Ajira Portal
Rejea jedwali lifuatalo lenye orodha ya walioteuliwa.
Soma zaidi:-