Jobs in Tanzania

Ajira Portal 2025: Uhuishaji wa Taarifa za Wasailiwa

Usaili Ajira Portal Mei 2025: Wito kwa Wasailiwa Kuhusu Kuhakikisha Taarifa Zao Zipo Sahihi

Nafasi za Kazi Ajira Portal
Uhuishaji wa Taarifa za Wasailiwa

Kwa waombaji kazi wote walioteuliwa kuhudhuria usaili kupitia Ajira Portal kuanzia tarehe 24 hadi 30 Mei 2025, mnakumbushwa kufanya uhakiki na uhuishaji wa taarifa zenu kwenye akaunti za Ajira Portal.

Hatua za Kufanya Uhuishaji (Update):
Ili kusaidia upangaji wa vituo vya usaili vinavyokaribiana na maeneo mlikopo sasa, mnapaswa:

  • Ingia kwenye account yako ya Ajira Portal
  • Ingia sehemu ya Personal Details kisha ingia kwenye ‘Contact Details’
  • Badili ‘Current Resident Region’ na ‘Current Resident District’ na kuweka Mkoa ambao utapendelea kufanyia usaili wa kuandika (Mchujo)
  • Huisha taarifa zako kabla ya tarehe 15 Mei 2025, Wanaoakata rufaa pia wafanye kabla ya tarehe hiyo.

Kwa Walioachwa kwenye Orodha ya Usaili:
Kwa wale ambao hawakuitwa kwenye usaili kutokana na sababu mbalimbali na wangependa kukata rufaa:

Uhuishaji wa Taarifa za Wasailiwa Ajira Portal

Tembelea Tovuti Rasmi:
Kwa maelezo zaidi kuhusu usaili, vituo, na hatua nyingine, tembelea www.ajira.go.tz.

SOMA ZAIDI:-

  1. Walioitwa kwenye Semina Tume ya Uchaguzi (INEC)
  2. Matokeo ya Usaili wa Kuandika TRA 2025 Tazama Hapa

Leave a Comment